Tembea SISU

Chuo Kikuu cha Taaluma za Kimataifa cha Shanghai (SISU) kiliasisiwa katika mwaka wa 1949, wakati wote kinazingatia kukuza utu, ubunifu, mawazo ya kimataifa, uwezo wa kutatua matatizo pamoja na wengine na elimu ya lugha za kigeni kwa wanafunzi. Madhumuni yetu ni kuwaelimisha wanafunzi ili kuwawezesha kuishi kama raia wanaowajibika.

Matawi ya Chuo Kikuu

Muhtasari wa Shughuli za Utafiti

Zaidi
Baidu
map